Ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya kupitia European Investment Bank (EIB) wiki hii umetembelea Wizara ya Maji na kukutana na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe ofisini kwake. 

Ujumbe huu uliongozwa na Makamu Rais wa EIB, Pim van Ballekom kutoka Luxembourg akifuatana na wawakilishi wengine Richard Willis, Catherine Colllin, Cristian Mejia-Garcia na Anne Claire Dauvier, Adam Grodzicki.

 EIB inatoa msaada kwa miradi ya Sekta ya Maji nchini katika kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo ambayo inaendelea hapa nchini ikiwemo katika miji ya Mwanza, Bukoba na Musoma.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Makamu Rais wa EIB, Pim van Ballekom.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na wageni kutoka EU EIB
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akishuhudia Makamu Rais wa EIB, Pim van Ballekom akisaini katika kitabu cha wageni.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akisalimiana na Balozi wa EU nchini Tanzania Filberto Sebregondi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Fanicha AKA samani ya ofisi ya Waziri made in wapi vilee??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...