Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi. Mwanaidi Salehe (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Uwezeshaji, Bi. Fatma Gharib Bilal wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious uliofanyika mwishoni mwa juma ndani ya Zanzibar Ocean View.(Picha na Zainul Mzige).
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious, Bi. Umul-kulthum Ansel (kulia) akipozi na MC wa shughuli Bi. Fauziat Abood (katikati) pamoja na mjumbe mmoja wa wajumbe Mariam Yusuph Otembo.
Pichani juu na chini ni wageni waalikwa wakipata Ukodak kabla ya shughuli kuanza kwenye Red carpet.
Hii mimi naona ni janjajanya ya kutaka kuanza kutuleta Umiss Zanzibar, wamejaribu mara nyingi kwa kupitia mbinu tofauti, na sasa naona wanaanza kukubalika kwa kuwashirikisha viongozi wa juu wa Serikali. Tuwe macho na maadili mabovu yanayochochea kwa kias kkikubwa kufanya maasi.
ReplyDeleteHivi hawa wanawake hawajiamini kwamba wao ni warembo na ni wazuri, mpaka wajioneshe mbele ya kadamnasi ya watu, na kuanza kuleta vishavishi vya ngono???
naungana na mdau hapo juu 100 kwa 100.nakumbuka kuna dada mmoja,jamaa wa karibu sana alishiriki hayo mambo kule znz kabla hayajapigwa stop.mamake alipofatwa amkanye mwanawe alijibu aachwe aendelee,hakuna anaemsaidia kulea.duh,jamaa walitoka kwa mlango wa nyuma
ReplyDelete