DSC_0243
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi. Mwanaidi Salehe (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Uwezeshaji, Bi. Fatma Gharib Bilal wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious uliofanyika mwishoni mwa juma ndani ya Zanzibar Ocean View.(Picha na Zainul Mzige).
DSC_0058
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious, Bi. Umul-kulthum Ansel (kulia) akipozi na MC wa shughuli Bi. Fauziat Abood (katikati) pamoja na mjumbe mmoja wa wajumbe Mariam Yusuph Otembo.
DSC_0063
Pichani juu na chini ni wageni waalikwa wakipata Ukodak kabla ya shughuli kuanza kwenye Red carpet.
DSC_0064 DSC_0181
Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious Bi. Evelyne Wilson.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii mimi naona ni janjajanya ya kutaka kuanza kutuleta Umiss Zanzibar, wamejaribu mara nyingi kwa kupitia mbinu tofauti, na sasa naona wanaanza kukubalika kwa kuwashirikisha viongozi wa juu wa Serikali. Tuwe macho na maadili mabovu yanayochochea kwa kias kkikubwa kufanya maasi.
    Hivi hawa wanawake hawajiamini kwamba wao ni warembo na ni wazuri, mpaka wajioneshe mbele ya kadamnasi ya watu, na kuanza kuleta vishavishi vya ngono???

    ReplyDelete
  2. naungana na mdau hapo juu 100 kwa 100.nakumbuka kuna dada mmoja,jamaa wa karibu sana alishiriki hayo mambo kule znz kabla hayajapigwa stop.mamake alipofatwa amkanye mwanawe alijibu aachwe aendelee,hakuna anaemsaidia kulea.duh,jamaa walitoka kwa mlango wa nyuma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...