Jumla ya wagombea watano wamechukua fomu za kuwania Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Bagamoyo, 
Zoezi  litafungwa rasmi tarehe 12 Machi 2014 saa kumi kamili alasiri, kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Bagamoyo, David Shija.

Wagombea hao ni:-

  1. Mathayo Torongey (CHADEMA)
  2. Phabian Skauki wa (CUF)
  3. Vuniru Hussein (NRA) 
  4. Ramadhan Mgaya (ASP) 
  5. Ridhiwani Kikwete (CCM)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Atakaye chaguliwa awe makini kutetea maendeleo. Asiwe kama wabunge wa Dar es Salaam ambao wameshindwa kutetea na kuhamasisha ujenzi wa barabara za juu jijini humo. Hali ni mbaya mbaya sana. Nafikiri hata Mhe. Kikwete atamaliza muda wake bila kujenga barabara ya juu hata moja. Tusubiri miujiza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...