Kaimu Mkuu
wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia bi Prisca Ulomi akitoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi sahihi
ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es
salam .
Kaimu
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia Bi Prisca Ulomi akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es
salaam kuhusu hatua iliyofikiwa na Serikali katika Uandaaji wa Sheria ya Matumizi Salama ya Mtandao,kushoto
ni Afisa habari wa Idara ya Habari Maelezo Bi Fatma Salum.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...