Home
Unlabelled
ajali lugalo jijini DAr es salaam leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anko tafadhali hii sio habari
ReplyDeleteTunategemea kujua:
1. Namba za magari
2. Wamiliki
3. Idadi ya Majeruhi kama wapo
4. Idadi ya Vifo kama vilikuwepo
Mfano hiyo gari ni ya rafiki au ndugu yako unafikiri utajisikiaje ukiona picha bila taarifa yoyote ile?
Kama unazo tufahamishe ili iwe habari na sio hivi
Ooooh! Aina hii ya malori tena!!! Duh, hii si mara ya kwanza au ya pili kuona aina hii ya malori yakiwa yamepinduka au kuangukia magari mengine. Nakumbuka kuona aina hii ya lori maeneo ya Mbezi Beach iliangukia RAV4 na sehemu nyingine tena niliona limepinduka.
ReplyDeleteNadhani ni wakati muafaka kwa vyombo husika kuyafanyia uchunguzi malori ya marefu ambayo hubeba kokoto na mchanga, yawezekana yana matatizo makubwa ya kiufundi.
Kwani tatizo letu kubwa hapa Tanzania ni uchunguzi kwa magari ya used yaingiayo nchini hususani malori hakuna.
Huyo mwenye gari ndogo hana cha kufanya zaidi ya kulia tu. Kama ana Bima ya comprehensive ataambulia kitu lakini kama hana tumpe pole.
ReplyDeleteNAKWELI HIYO SI HABARI.
ReplyDeleteHAIJAKAMILIKA
Amakweli Tanzania tambarale,kwa jinsi watu walivyo kaa na kuduwaa huwezi amini kuna binadamu kanasa ndani ya hilo gari dogo.wakuu wa polisi wanaoneka na vifimbo vyao wakiangalia utadhani mtu yuko sokoni kuchagua machungwa.
ReplyDelete