Ankal akila selfie na mdau anayefanya vyema katika biashara ya usafirishaji mizigo dunia nzima kaka Abouibakar Faraji ofisini kwake Tottenham Hale..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankali,

    Hiyo fulana ulipewa na 'Mwalimu' ama 'Daktari' baada ya Kisomo?

    Na baridilote la Majuu UKEI lakini bado upo ndani ya Fulana?

    ReplyDelete
  2. Sasa faraji hiyo ofisi iko kwenye hilo van kuu kuu nini? mbona hamtuonyeshi ndani tuone?

    Ankali naona uko na ze fulanaz ndani ya london.

    ReplyDelete
  3. Anonymous unaweza kuiona ofisi hapo chini:

    http://www.youtube.com/watch?v=3JIxtl9aYxw

    ReplyDelete
  4. Kazi nzuri faraji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...