Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiongea kwa uchungu kufuatia kukamatwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo
kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo
Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.
Mkuu wa Kitengo
cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili kulia)
akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Bunduli iliyokamtwa
pamoja na meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati, kjilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida
juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya
Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino
Mkoani Dodoma hivi karibuni.
Mkuu
wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande
(wapili kushoto) akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu meno
ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati,
kjilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni
katika Kijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji
caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.
Mheshimiwa Waziri suti zako kali ila kama unaweza kupromote wabunifu wa kitanzania ili siku mojamoja uwe unatupia vitu made in Tanzania.
ReplyDeleteWatie kamba
ReplyDeleteTunahitaji sheria mpya dhidi ya wahalifu hawa. Huu ni uuwaji, watakao kamatwa wapatiwe kifungo cha maisha au hata kifo. Wanaouwa wanyama wetu wanajulika!
ReplyDeleteMgaibuni