Ankal akiwa na muasisi na mwanzilishi wa Fashion show nchini Tanzania Da' Farida Matata a.k.a Farida Fashion ambaye alianzisha mambo ya fashion show miaka ya 1986 na kuwatoa warembo wengi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa anaendesha biashara kibao jijini London ikiwa ni pamoja na mkahawa wa vyakula vya Kiswahili sehemu ya Tottenham Hale wenye jina la hapo juu. Ankal  ametembelea hapo na kupata msosi wa nguvu wa wali wa nazi kwa samaki hapo chini

 Before....
 After.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wali wa nazi kwa samaki, me mate yamenitoka

    ReplyDelete
  2. hahaha....mbona umekimbia mboga mboga?!

    ReplyDelete
  3. Ankali hujaacha hata sampuli! Ukigua tutapeleka nini maabara. Lakini huo ubwabwa, mhhh! Sio wa Mbeya au Ifakara...

    ReplyDelete
  4. Michuzi upo UK na kikwete, firwa kaka

    ReplyDelete
  5. Miye nafikiri najua kiswahili, lakini wakati mwingine maji yazidi kina, basi naomba tafsir au maelezo ya maoni ya ndugu yangu hapo juu anayesema Michuzi upo UK.....

    ReplyDelete
  6. namkumbuka FARIDA kutoka mikocheni mpaka uk biashara ya mama mtilie kweli maisha safari ndefu sana

    nipe adres kamili weekend hii nikale hapo na mimi

    ReplyDelete
  7. naona ankal una alegy na mboga mboga.umekomba ma-michuzi yote lakini mboga umeacha.moboga mboga ndiyo afya yenyewe ,najua ankal kila chakula ulacho lazima kuwe na ma-michuzi.

    ReplyDelete
  8. haa haa hongera uncle, umenikumbusha mbali Enzi za farida fashion show.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...