Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiowaonesha waandishi wa habari hati halisi ya Muungano ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 37 mpaka sasa

  1. yani picha moja tu ndio imefocus kwenye maneno.. tuwekeeni tusome maneno matamu ya muungano.

    ReplyDelete
  2. Wot is next wapinzani?

    ReplyDelete
  3. Haiingii akilini kwanini ilikuwa imefanywa siri. Hii ni Hati ya kihistoria. Ingewekwa wazi na nakala kutunzwa Nyaraka za Serikali na Makumbusho ya Taifa. Zogo hili ni la kujitakia tu!

    ReplyDelete
  4. kaka huyu Lissu kaaapa mbele ya bunge kwamba hakuna makataba huo sasa aseme tena aombe radhi watanzania hichi ni nini ndio maana anaitwa mnganga njaa chadema ebuu aseme uongo mwingine huo umetatuliwa

    ReplyDelete
  5. mie hao wapinzani nawaona kama extremists kwa kweli sisi tulio nje tunaona fedheha wanavyoweka kidole ndani ya jicho la serikali iliyowapa uhuru wa kila aina.

    basi tunasubiri watakavyogeuza lugha hivi waasisi ni wasanii na umoja wa mataifa wasanii??????:?

    ReplyDelete
  6. Mdau USEMAE "HAINGII AKILINI",elewa kuwa inaingia akilini sana. Hivi unadhani cheti cha ndoa ya baba na mama huwekwa wazi tuuu kama mpaka wa wa shamba la mibaazi? Ujuwe inapokuwa hapana budi kikihitajika ndio hutolewa kadamnasi.Wake up !!

    ReplyDelete
  7. mmmmmhh,wow ! when truth prevails,lies must vanish away -kweli ikidhihiri uongo hujitenga.Wabishao kwa viapo leteni lengine sana,mwasemajeee.

    ReplyDelete
  8. Jamaa wanaohalalisha kufichwa kwa Hati hiyo kama Anony anayeifananisha na cheti cha ndoa ya baba yake ni ishara ya kilele cha ujinga (sio tusi) "ignorance" ya watu na viongozi wetu. Hii ilikuwa iwekwe Makumbusho mapema sana sio miaka hamsini baadae! Mungu Ibariki nchi yetu!

    Aidha iwapo cheti cha ndoa ya mama yako kimefichwa hiyo ndoa ina walakini!

    ReplyDelete
  9. Ni vizuri tumeonyeshwa hati hii, kwa mimi naona ni haki ya msingi kwa mtanzania kujua kuwa hati hii ipo, na isingekuwa kwa hao wapinzani tusingeweza kuiona.

    ReplyDelete
  10. Alaaah,kumbe hii hati ilikuwa haikufishwa isipokuwa ilikuwa ni well preserved for future use!Nice and good news.Well done administrators.

    ReplyDelete
  11. Tunaomba tuwekewe tuusome wote tujue nini kimeandikwa humo ndani

    ReplyDelete
  12. Hii itajibu hoja tu miongoni mwa hoja zilizokuwa raised na wapinzani; kwa mfano hapo ukisoma kuna kifungu viii ambacho kwa tafsiri ya haraka kinasema "hiyo article itafanywa kuwa sharia na mabaraza yaliyokuwepo wakati huo; ambapo kweli kwa Tanganyika ilifanyika, Zanzibar hicho kitu hakikufanyika hii imethibitishwa na Rashid ambaye alikuwa katibu wa BLM; kwahiyo still we have problem; huu mkataba si halali? kuna mtu anabisha?

    ReplyDelete
  13. NI KANUNI KWA NYARAKA KAMA HIYO NYETI KUTOKUWA HADHARANI HOVYO HOVYO:

    ''PANA MAMBO YANASTAHILI KUJULIWA NA AKINA JAKAYA KIKWETE , DR.SHEIN, PINDA NA DR.BILAL NA SIO MIMI NA WEWE''

    Msifananishe hata siku moja Nyaraka nyeti kama hiyo na kitu kama Cheti cha Ndoa.

    You guys get educated !

    ReplyDelete
  14. Mnao Pinga Muungano na Wapinzani wa Bungeni habari ndiyo hiyo.

    Mpo wachahce sana ukilinganisha na idadi ya watu nchini ya Mil. 45 hakuna sababu kuhatarisha ustawi na mustakabalai wa nchi wa baadaye kwa kuwabeba ninyi.

    Ili mradi Hati ya MUUNGANO ndiyo hiyo mmeshinikiza itolewe hadharani kinyume na kanuni zake inavyotakiwa kuwa siri kwa Wakuu wa nchi tu.

    Kinacho fuata WAPENDA AMANI NA WAZALENDO NCHINI TUTA HARAKISHA SUALA LA URAIA PACHA, TUTAHDIBITI MAPUNGUFU YAKE NA KUCHUKUA FAIDA ZAKE, KISHA WAPINGA MUUNGANO NA WAPINZANI TUTAWAPA URAIA WA OMANI NA NJE YA TANZANIA KWA UANGALIZI MKIZOEA MAZINGIRA YA HUKO TUTAWAVUA RASMI URAIA WA ''JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA'' MKAANZE MAISHA MAPYA HUKO UGENINI KUSIKO KUWA NA MUUNGANO!

    ReplyDelete
  15. Baada ya Hati ya Muungano kuwa hadharani, atakaye endelea kupinga atakuwa Muasi!

    Hatuna jinsi wanaopinga uhalali wa Mungano KUANZIA SASA tutawapiga na nyundo za utosi hadi wafe, kwa idadi ya watu Milioni 45 hakuna upungufu utapatikana kwa kuwaondoa hawao wasiozidi (laki mbili) tu.

    Kwenye Mchakato wa Bunge la Katiba Dodoma mtoe hoja za kujenga na sio kubomoa.

    Hatuwezi kuachia nchi ikiingia kwenye hatari kwa ajili ya wachochezi wachache wanao tafuta umaarufu wa kisiasa kirahisi!

    ReplyDelete
  16. Wewe mtoto Hati ya Ndoa ya Wazazi ya nini kuiona ovyo ovyo?

    Wakubwa waliiweka Kabatini Hati hiyo muhimu sana ya Muungano kama unavyoona hadi sasa ipo.

    Ingekaa wazi wazi wewe mtoto kwa kuwa bado ni Kikojozi ungei harishia ama kuikojolea !!!

    ReplyDelete
  17. Angalau ushahidi umetolewa kwenye nyaraka za taifa, ubishi umeisha. Miaka hamsini mingi wale ambao walikuwa hawajaona nyaraka hii muhimu wapatiwe nakala kwa ajili ya kumbukumbu zao na vizazi vijavyo.

    ReplyDelete
  18. Wadau naombeni msaada wa hii tarehe ya sahihi, binafsi sijaelewa sana kwanini ni tar 22/04/1964 na sio 26/04/1964??

    ReplyDelete
  19. Hizo sahihi tu uthibitisho tosha, ingawa leo mara yangu ya kwanza kuona sahihi zao

    ReplyDelete
  20. Swali moja bado hawajajibu, ilifikishwa UN?

    ReplyDelete
  21. Huyu Lissu huyu hovyoo kabisa...halafu eti CDM wanajiuliza ni kwa nini wananchi hawawapendi kumbe ni viongozi kama design hii hii ya Lissu..sasa sijui atajificha wapi muongo huyu......(in Ray's voice).

    ReplyDelete
  22. Raisi Kikwete umewafanyia sana Uislamu kwa kuwatolea Hati hiyo hawa jamaa!

    Enough is enough!

    Kwa kuwa wewe ni Mr.Nice imetosha, hawa jamaa hawakupata kuonyeshwa hiyo kitu tokea Marais wooote waliopita hadi leo hii.

    Kinacho bakia sasa, atakayeubeza Muungano atakuwa niMuhaini wa nchi na mchochezi aende Gerezani moja kwa moja kwa sababu hawana kingine cha kudai tena.

    Kama litakalo baki ni kukuamuru wewe Raisi Jakaya Kikwete kuruka na mabawa kama ndege! kitu ambacho hatuna nafasi tena ya kuwathibitishia Muujiza huo kwa kuwa TAYARI TUMESHA WAONYESHA HATI, KITU AMBACHO NDIO ILIKUWA HOJA YAO KUBWA KUPINGA MUUUNGANO, SASA NI KAZI NA KIFUNGO NDIO KILICHO BAKI KWA WAPINZANI WA KATIBA NA WAPINGA MUUNGANO!!!

    ReplyDelete
  23. Wapinga Muungano Hati ndio hiyooo,

    Labda kilicho bakia ni (ninyi Wapinga Muungano na Wapinzani Bunge la Katiba) kutuhakikishia wa-Tanzania uwezekano wa Serikali 3 na kuvunjika kwa Muungano kwa ninyi kuweza KUJILAWITI WENYEWE!!!

    Sasa hapo sijui mtatokea wapi tena?

    ReplyDelete
  24. Tulicho bakiza kwenu Wapinga Muungano na Wapinzani ktk Bunge la KATIBA kutaka Serikali 3 ni kuwasukumiza na BUTI KUBWA LENYE CHUMA MBELE LA SERIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA mkaangukie huko Uarabuni mnakodai mnadhaminiwa!!!

    ReplyDelete
  25. Asalaleeee, Hati ya Muungano hiyo hapo sasa.

    Wapinga muungano na wapinzani 'k' zimewashuka !

    ReplyDelete
  26. Nibora hati hiyo ilihifadhiwa huko ilipokuwa.Kama wangedhubutu kuiweka makumbusho ya Taifa kama wadau wengine wanavyodai,leo hii usingeipata kokote na vilevile usingepata mtu wa kukueleza ilipo au wa ku accept responsibility ya kupotea kwake.
    Kwa hili ni busara kwa wapinzani kukubali kuwa walijenga hoja kwakubase kwenye hisia na sio facts period!

    ReplyDelete
  27. Mmedai weee Hati mmeziona sasa mtadai nini tena?

    Mtadai mtambo?

    Mkidai mtambo hamtalegezewa mtamwagwa kinyesi kama kawa!!!

    ''mtoto akililia chai mpe, asilalamike tena anaungua''

    Hapo ndio mtatambua ya kuwa sisi wana Mapinduzi wa Zanzibar na akina Maganga wa Bara tunavuta na tuna kunywa gongo!

    ReplyDelete
  28. Mmeshinikiza kuiona Hati ya Muungano hiyo hapo,

    Mkishinikiza kumwagwa kinyesi mtamwagwa kiroho mbaya!

    ReplyDelete
  29. Fitna kwishaaa!

    Wapinga Muungano Habari ndiyo hiyo.

    ReplyDelete
  30. Fuiture use is now! Bila wapinzania tusingeiona.. Lakini inabidi tujiridhishe kuwa ni Gunuine kwanza.
    Mimi.

    ReplyDelete
  31. Www nini commentors wanaona kudai Hati iwekwe wazi ni kosa? People want to see what's in there so that to help on the on going debate then what's wrong with asking the document to be made public? I wonder why people fails to discuss the real issue on hand rather engage themselves on cheap takes,hoja iwe about the union whether is perfect or otherwise. We had tanganyika and Zanzibar, then tanganyika vanished, Zanzibar stayed the let's ask ourselves why and where is tanganyika? That's should be a guide moving forward with the discussion. So we either have one government that will address the real solution or we have 2 governments and union govnt on top. If Zanzibar is left to be a country then there s no union here

    ReplyDelete
  32. I don't care what political affiliation any of you dwelling but the fact of the matter is we need a perfect union,the union we had back then in 1964 was good to start with but hey! Is t good now?does it Need to be modified?obviously the answer is yes, the issue of tanganyika should be on the table inevitably, if Zanzibar had stayed then tanganyika would also have,where is our country tanganyika? That's a question each of us would be asking themselves, Zanzibar has been taking aggressive action to legitimate itself as an independent county and everyone knows this fact then how can we have a union that's actually is not a union, we have tanzania and Zanzibar period! There's no such a thing as United republican of tanzania since Zanzibar has an independent government and while tanganyika had vanished or changed to be tanzania. So let's get our acts together and understand where the problem is instead of bringing cheap ideas and criticism that won't help the ongoing discussion about the union deserved. So it's only ONE government or else 3 gov't, tanganyika should be revived!

    ReplyDelete
  33. Wanaodai kuuvunja Muungano, kurejesha Tanganyika na Serikali 3, baada ya Hati kuonekana kama hapo kilichobaki TUTAWAPIGA BUTI LA CHUMA MBELE KWENYE MATAKO YAO WAKAANGUKIE UARABUNI wanakodai wanadhaminiwa!

    ReplyDelete
  34. Jambo la kituko akina Esmail Jussa Ladhu wamezaliwa wameukuta Muungano!

    Ni ajabu na kweli waliozaliwa wakaukuta Muungano leo hii wakidai waione hati ya Muungano, wanaomnyeshwa Hati ya muungano wanadai ohhh pana Ushahidi gani Kikao cha Baraza la Wawakilishi kilikaa kuamua maamuzi yaliyo pelekea Muungano!

    Sasa huo ndio ubabaishaji wenyewe wa Kisiasa kwa kuwa hatukuwa na Kanuni za maamuzi yatokee kwa nani, la muhimu kwa utaratibu walio jipangia watu wa kipindi hicho maamuzi yanafanywa na Kiongozi kwa kuaminiwa na Memba wa Baraza na sio Kikao!!!

    Upo utaratibu kwa kutoa nafasi kwa Viongozi kufanya maamuzim kwa niaba ya watu, hilo halipingiki na lipo hadi sasa zama hizi , mfano mzuri wa sasa Maamuzi mengi ktk EAC ya ndugu zetu 'CoW' yaani 'Coalition of Willing' Kenya,Uganda na Rwanda yana fanywa na Viongozi wa nchi pekee badala ya watu, ama kusoma muelekeo wa walio wengi kama tunavyo fanya sisi Tanzania.

    Kama Raisi Kagame wa Rwanda anaweza kukaa na Maraisi wenzake (bila kuwashirikisha wananchi wa Rwanda ama Viongozi wa juu wandamizi wa nchi na Serikali ya Kigali) ktk zama hizi akaamua Tanzania itengwe kwenye Mipango ya Miundo mbinu ya EAC, KUNA TATIZO GANI SHEIKH ABEID AMANI KARUME KUAMUA NA KUSIMAMA KUWAKILISHA MUUM#NGANO WA KWA ZANZIABR?

    Kama wamekubali Tanganyika ilikaa Kikao cha Maamuzi na sasa je, kwani Tanganyika ile na leo hii sio sehemu ya Muungano?

    EMSAIL JUSSA LADHU chukua nyavu ukavue samaki Siasa imekushinda!!!

    ReplyDelete
  35. Wapinga Muungano na washabikiaji wa Serikali 3, HATI YA MUUNGANO NDIO HIYO HAPO NA SASA NI KUWA 'wa makalio mmechapwa nao'!

    TAFUTENI JINGINE!

    ReplyDelete
  36. Wapinzani wa Muungano na Waungaji Mkono wa Serikeli 3 msije mkaanza tena kudai,

    -ohhh mbona hatuoni Jina la Wakili (Advocate) tunaye mtambua,

    -ohhh mbona Hati haina Muhuri!

    Hii muelewe ni kitu nyingine kabisa, mfahamu ya kuwa makubaliano yanaweza kuandikwa hata pia kwa maandishi ya mkono sio lazima yawe ya kuchapa kwa mashine ilimradi yakidhi vigezio vya Hati!

    Tazameni hilo ganda lake la nje ni wazi hiyo ni kitu imeandaliwa Kitaaluma sana na Mawakili ama Wana sheria wa Kizazi Kipya kama Tundu Lisuu na Esmaili Jussa Ladhu hawaambulii chochote hapo.!!!

    ReplyDelete
  37. Kuna walio fikiri wataibuka na hoja ya hati.
    Sasa wako ooohhh sahihi ya Karume haivutii.
    Usenge mtupu.
    Sasa subirini kipigo mwakani.
    Uchaguzi mwakani lazima mtiwe..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...