Mdau wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msang kulia na Promota Mussa Kova wakibadilishana namba za simu na bondia Sajjad Mehrab mara baada ya kuwasili katika uwanja wa kumataifa ya Julius Nyerere kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Mdau wa mchezo wa masumbwi nchi Jay Msangi wa pili kulia na Promota Mussa Kova wakiongea na bondia Sajjad Mehrab mara baada ya kuwasili katika uwanja wa kumataifa ya Julius Nyerere kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Cheka utakaofanyika April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam kulia ni kocha wa bondia huyo wa Iran Lolal Shamlo. Picha na Super D
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...