Baada ya "kutoka" kwa wimbo na mashairi ya 'Mjomba' msanii malenga Mrisho Mpoto ameendelea kupata mafanikio siku hadi siku kwa kuweza sasa kumiliki bandi yake aliyoipa jina la Mjomba Band, akiajiri vijana zaidi ya 10 na kuendeleza libeneke kwa nguvu zake zote. Aghalabu Mpoto na bendi yake utakuta wamealikwa katika shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa ili kutoa burudani. Hakika yeye ni mfano wa kuigwa. pichani  Mpoto akiwa na bendi yake jukwaani.
 Mrisho Mpoto akighani mashairi akitumia vifaa vya kisasa na vya utamaduni katika kufikisha ujumbe katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya dharura ya watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Hapa ni katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh Mrisho unagelezea kwenye kompyuta kisha unaimba.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...