Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Liverpool ya mara hii ni timu yenye kutisha sana. Wachezaji kama Suarez, Sterling Suridge ni wakali sana, ila wana udhaifu unaonichukiza sana. Huu ni ile tabia yao ya kudanganya kwa kujiangusha kwa jinsi ili ile ya Ashley Young wa Man U na Christiano Ronaldo wa Real Madrid.
    Conclusion yangu juu ya hili ni kuichukia sana hii timu na kamwe sitopenda wao kuwa ni mabingwa popote pale! Nawasilisha.

    ReplyDelete
  2. Sio tatizo kabisa wewe kuichukia LFC, tatizo lako ni kutokujua. Liverpool inacheza mpira huu miaka yote ni mfumo uliowekwa na waasisi wa pass and move kina Bill Shankly miaka mingi iliopita, problem iliyokuwepo misimu ya hivi karibuni kulikuwa na upendeleo wa timu Fulani kitu ambacho msimu hakuna. Mtindo huu wa kucheza ndio uliomfanya Gaza( kama umewahi kumsikia)alipotoka Lazio 1995 kurudi England alipoulizwa timu gani angependa kuchezea pale England alijibu Liverpool sababu ndio timu inayocheza mpira wa kuvutia ni jibu hilohilo alilitoa Paul Ince aliporejea England kutoka Inter, tofauti msimu huu upendeleo hamna ndio maana msiojua football mnaona LFC ya sasa ni nzuri LFC ni nzuri miaka yote....na ina umuhimu sana katika European Football 'ni vizuri sana na muhimu kwa football kwa LFC kurejea katika kombe la mabingwa ulaya' (Pep Guardiola)na huyo wa juu kama hujui ndio muasisi wa mpira unaochezwa na Barcelona leo...usilolijua uliza ama utakuwa usiku wa kiza kwako brother anonymous

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...