Ankal akifurahia ushindi wa 3-2 dhidi ya Man City leo huko Anfield. 
 Baadhi ya Bongo Kops wakiserebuka kwa ushindi leo
 Nahodha Steven Gerald na wenzie wakifurahia ushindi
Wadau wa Bongo Kops na mwenyekiti wao Musley (kati) wakiwa na furaha baada ya gemu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Safi saaana.

    US Blogger

    ReplyDelete
  2. We believe...... And we want it for our Captain fantastic

    ReplyDelete
  3. Hata wasipokuwa mabingwa wa premier league Liverpool Football Club ni mabingwa wa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ukizingatia wanashindana na club mbili ambazo zimetumia zaidi ya pounds billion moja kati yao kutafuta tu nafasi ya 4 bora ya premier league na wao hawaogopi kutumia vijana kutoka youth team kwenye match muhimu....kama habebwi mtu England hakuna mfano wa LFC

    ReplyDelete
  4. Mambo baado

    ReplyDelete
  5. ancal nakutabiria ipo siku utakuwa mkuu wa wilaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...