Home
Unlabelled
HOJA YA HAJA: "Tubadili Jiji la Dar es Salaam: Kuna Zaidi ya Mafuriko"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu,mm nilishasemaga miyaka mingi ya nyuma,ya kwamba nashindwa kuelewa hivi ni nini haswa kazi ya MKUU wa MKOA? MEYA na uongozi wote kwa ujumla wa MKOA wa DAR cha ajabu nilishambuliwa na wadau wa MICHUZI lakini leo hii naona wadau hao hao wanakubaliana na mm,tujiulize kwanza hivi hao viongozi wa huu mkoa hawajawahi kutembelea nchi za watu wengine na kujionea wenyewe kwajinsi MAJIJI yao yalivyo? Kwangu mm jibu liko wazi ya kwamba washayaona majiji ya nchi zingine yalivyo SASA KWANINI wasione aibu kwajinsi jiji lao lilivyo ovyo ovyo? 1 jiji linanuka 2 jiji lipolipo tu kama kichuguu 3 jiji halipo katika mpangilio maalum 4 jiji kama jalala la taka taka 5 uongozi wa mkoa wote wanalipwa pasipo kuona wanachokifanya 6 jiji kama hili la dar eti halina hata sehemu za kupumzika yaani PARKS hii ni aibu isiosemekana 7 jiji halina usafiri wa maana jiji halina bara bara za juu jiji halina bara bara za chini za kuanzia njia 6 kupeleka na 6 kuludisha? Bara bara kama hizo za njia 6 wakajifunze DUBAI au JAPAN au USA na wajiulize swali why wenzetu wameweza sisi tushindwe? Tatizo kubwa hapa Tanzania kwetu watu au viongozi kufanya kazi ambazo hana ujuzi nazo hili tatizo linaiumiza sana nchi yetu,ndio maana unakuta hakuna UBUNIFU kitu chochote kile kama huna ujuzi nacho basi kinachofuata ni UBABAISHAJI PASIPO NA UBUNIFU so kwa upande wangu sishangaii kuona dar imegeuka BAHARI
ReplyDeleteWell said by mwandishi (mwalimu MM). Umeweka kila kitu wazi tufike mahali tuchoke na hali iliyopo sasa tuamue kutengeneze jiji letu tuache haya mambo ya ujanja ujanja na usanii ambao umetufikisha hapa tulipo. tukiamua tunaweza kufanya na tutafika mbali sana.
ReplyDeleteSamahani wakuu, Mdudu na Mwalimu uliyeandika hii, nadhani toka muda mrefu watu tumelisema ili, Dar watu wanajenga majengo makubwa lakini wanasahu kutanua miundo mbinu. Na hapa ngoja waje(humu mtandaoni) hao wanaojifanya wazalendo na siye tunaokosoa si wazalendo, watakwambia "Bongo kama Marekani vile" Lakini inabidi nikili ya kwamba, mvua za safari hii zimefanya madhala mengi mno, ambayo si ya kawaida. Kwa vyovyote nakubalina na Mdudu na mwandishi vile vile, Bongo imekaa vibaya inaitaji mpango mpya, sana, sana mipango ya dhalura kwani kama tetemeko au sunatmi ikitokea tutakufa kama jamaa wa Haiti(Mungu atuepushe na ilo)
ReplyDelete*Mmbongo Chiberia*
Asante ndugu kwa comments zako. Nimegundua sikufa proof reading ya kutosha kwenye nilichopost na kina makosa mengi ya kiuandishi. nime-edit na version mpya yapatikana hapa.
ReplyDeletehttp://mwalimumm.blogspot.com/2014/04/tubadili-jiji-la-dar-es-salaam-kuna.html