Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara (kulia) akiongea na Rais na Mwanzilishi wa International Youth Fellowship kutoka Korea Mchungaji Ock Soo Pack (kushoto )na ujumbe wake (haupo pichani) ambapo walizungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni juhudi za kudumisha ushirikiano baina ya pande mbili.Makao Makuu ya Shirika hilo ni Korea Kusini
Rais na Mwanzilishi wa International Youth Foundation Mchungaji Ock Soo Pack (kushoto ) na ujumbe wake (haupo pichani) akisisitiza jambo kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara wakati ujumbe huo ulipomtembelea Waziri Ofisini kwake ambapo waliongea mambo mbalimbali kuhusu kudumisha ushirikiano baina ya pande mbili. (Picha na Benjamin Sawe).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...