Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 50 iliyopita. Globu ya Jamiii imnaungana na Watanzania duniani kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia 
HAPPY MUUNGANO DAY

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kuuliza si ujinga. Namuona kwa nyuma kushoto kwa mwalimu Rashidi Kawawa je aliyeko kulia kwa mwalimu kwa nyuma ndiye karume?

    ReplyDelete
  2. Znz hatukatai mungano ila sio huu wa sasa ila. Jamaa wametia pamba mashikio mpaka watu wauwane ndio watafurahi lete tanganyika na mamlaka yake ndio ije serekali ya mungano sasa sisi Znz tumeungana na tanzania au tanganyika

    ReplyDelete
  3. kulia kwa nyerere kwa nyuma ndiyo karume

    ReplyDelete
  4. Mchangiaji wa kwanza acha kutafuta mambo yasiyo na tija. Mbona Marekani nchi zao zimeungana na wana Rais mmoja. Tuangalie mambo ya kiuchumi. Kurudisha Tanganyika na Zanzibar ndio uchumi utakua. Hawa wanajifanya wanataka kuisadia Zanzibar..Mbona hawafanyi hivyo huko Komoro? Nchi nyingi sana za Afrika zinajitegemea, mbona uchumi wao si mzuri? Angalieni masilahi ya kiuchumi tuachane na uzanzibar na utanganyika. Ukiwa Tanganyika ndio uchumi utakua?

    ReplyDelete
  5. Sasa mbona karume kakaa nyuma badala ya kuwa mbele ili wachanganye udongo pamoja na mwalimu? hii imekaaje?

    ReplyDelete
  6. comoro inatawaliwa na ufaransa nchi yoyote ikiwa coloni la mfaransa inakuwa haina maendeleo bora toa mfano wa madagaska ntakuelewa

    ReplyDelete
  7. Waunga Mkono Serikali 3 na Waunga Mkomo wa Tanganyika, WINGI WA IDADI YA SERIKALI SIO UTATUZI WA HALI BORA ZAMAISHA NA YA UTATUZI UCHUMI WA NCHI NA WANANCHI !

    DUNIA NZIMA NCHI ZOTE ZINA SERIKALI (MOJA) TU SISI KUWA NA SERIKALI (MBILI) NI TOO MUCH IMETOSHA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...