Home
Unlabelled
HAPPY MUUNGANO DAY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuuliza si ujinga. Namuona kwa nyuma kushoto kwa mwalimu Rashidi Kawawa je aliyeko kulia kwa mwalimu kwa nyuma ndiye karume?
ReplyDeleteZnz hatukatai mungano ila sio huu wa sasa ila. Jamaa wametia pamba mashikio mpaka watu wauwane ndio watafurahi lete tanganyika na mamlaka yake ndio ije serekali ya mungano sasa sisi Znz tumeungana na tanzania au tanganyika
ReplyDeletekulia kwa nyerere kwa nyuma ndiyo karume
ReplyDeleteMchangiaji wa kwanza acha kutafuta mambo yasiyo na tija. Mbona Marekani nchi zao zimeungana na wana Rais mmoja. Tuangalie mambo ya kiuchumi. Kurudisha Tanganyika na Zanzibar ndio uchumi utakua. Hawa wanajifanya wanataka kuisadia Zanzibar..Mbona hawafanyi hivyo huko Komoro? Nchi nyingi sana za Afrika zinajitegemea, mbona uchumi wao si mzuri? Angalieni masilahi ya kiuchumi tuachane na uzanzibar na utanganyika. Ukiwa Tanganyika ndio uchumi utakua?
ReplyDeleteSasa mbona karume kakaa nyuma badala ya kuwa mbele ili wachanganye udongo pamoja na mwalimu? hii imekaaje?
ReplyDeletecomoro inatawaliwa na ufaransa nchi yoyote ikiwa coloni la mfaransa inakuwa haina maendeleo bora toa mfano wa madagaska ntakuelewa
ReplyDeleteWaunga Mkono Serikali 3 na Waunga Mkomo wa Tanganyika, WINGI WA IDADI YA SERIKALI SIO UTATUZI WA HALI BORA ZAMAISHA NA YA UTATUZI UCHUMI WA NCHI NA WANANCHI !
ReplyDeleteDUNIA NZIMA NCHI ZOTE ZINA SERIKALI (MOJA) TU SISI KUWA NA SERIKALI (MBILI) NI TOO MUCH IMETOSHA!