![]() |
Wakazi wa Kitongoji cha Bogini wakiwa wamejitikeza kwenye Msaragambo kwa ajili ya kuchimba na kufukia kwa vifusi maeneo ambayo ni mapitio ya maji kwenda kwenye makazi ya watu. |
![]() |
Wakazi wa kata ya Mabogini wakiwa katika Msaragambo. |
![]() |
Shughuli ya kuziba maeneo korofi iliendelea. |
![]() |
Hata wale wasio na vitendea kazi walilazimika kutumia mikono kufanya shughuli hiyo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...