Helkopta ya Jeshi la Polisi Tanzania ikiwa imepiga mweleka mapema leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere mara baada ya kupatwa na hitilafu ya kiufundi wakati wa ikitaka kuruka.Taarifa za uhakika kabisa zilizoifikia Globu ya Jamii,zinaeleza kuwa Helkopta hiyo ilishindwa kuruka kwa kwenda mbele na badala yake iiliruka kwa kurudi nyuma,hali iliyopelekea Panga la Helkopta hiyo kujipigiza kwenye moja ya Paa la Karakana la Uwanjani hapo na kupiga mweleka.Hakuna aliedhulika katika ajali hiyo.
Home
Unlabelled
News Alert: Helkopta ya yaanguka wakati wa Kuruka kwenye Uwanja wa Ndege wa J.K. Nyerere jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Poleni walioponea chupu chupu ajali hii. Tusipandishe viongozi wengi kwa wakati mmoja katika vyombo hivi,
ReplyDelete