Tumepokea kwa huzuni tele na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania na Africa ya mashariki marehemu mzee Muhidin Maalimu Gurumo Kilichotokea leo 13.04.2014 huko nyumbani Tanzania.
Pamoja na kuwa mbali na nyumbani bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani inaungana na watanzania wote popote pale katika kuomboleza msiba huu.
Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi mungu
amlaze mahala pema peponi marehemu Mzee Muhidin Maalim
Gurumo (RIP)
Amin
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...