Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao leo katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam muda huu. Matangazo haya yanarushwa moja kwa moja na Kituo cha TBC.

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye Mkutano huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...