Mpendwa wetu Dr Peter Zachariah leo ni miaka Saba tangu umetutoka na kutangulia mbele ya haki tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi una kumbukwa na mke wako Lilian. P. Kopwe watoto wako Ronald , Paul , Nancy na Gerald pamoja na Wazizi wako kaka zako Dada zako shemeji zako Wakwe zako wote pamoja jamaa na marafiki (Ayub 19:25 )tunakuombea pumziko la amani
- Amen
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...