Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar wakiteremka kwenye boti wakitokea Dar es laam kwenye Bonanza la Pasaka ambapo wamefanikiwa kuchukuwa makombe matatu ya mshindi wa kwanza katika michezo ya Play Station, mpira wa meza na mpira wa miguu dhidi ya wenyeji wao. Aliebeba kombe kubwa ni Rais wa Jumuia ya Kokn Jamat ya Zanzibar Jeff Babu.
Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar katika picha ya pamoja.
Nahodha wa Timu ya Kokni Jamat Ibrahim Dalvi (kulia) na msaidizi wake Nabil Shamshuddin wakiwa wameshikilia kombe mara baada ya kuwasili Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...