Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiwa na tuzo yake baada ya kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Wema akiwashukuru mashabiki wake waliompigia kura na hatimaye kuibuka mshindi.
...Akiwapa tano mashabiki waliofurika Dar Live katika Sikukuu ya Pasaka. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera saana WEMA SEPETU
    You deserve it,after all you are
    the best in everything,not only
    sexiest girl,ur the most creative artist & roll model we have ever create in our country as well.
    Be serious and take your carrier
    to the next level wish u gud luck

    MIKIDADI-DENMARK

    ReplyDelete
  2. Kuna njia nyingi za kupunguza hasira, chuki,uhasama na hata kumsahaulisha mtu nyakati ngumu............kwa hili nawasifu GPL

    ReplyDelete
  3. Hicho kiatu ukiteguka kidogo mguu ukibaki una bahati.

    ReplyDelete
  4. Anonymous wa kwanza, sio "carrier" ni "career" - kama ulikuwa na nia ya kutumia kiingereza.

    ReplyDelete
  5. Nafurahishwa mara nyingi na maoni ya wadau.Hebu angalia hapa, kuna mmoja ajisuhulisha na kidhungu full of spelling mistakes and malpropisms,mwingine ajisuhulisha na viatu,na mie lecherously stare at the mzigo aliobeba.

    ReplyDelete
  6. mchangiaji wa pili, nimekupenda. Una akili wewee!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...