Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz akimvisha medali asakari Dominick Mafuru mmoja wa washindi wa mashindano ya mchezo wa Karate yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi,Kabelwa Ferdinando(katikati) na Wembo Ailala.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi mkoa wa Kilimanjaro
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Robert Boaz akimkabidhi kikombe kiongozi wa timu ya Polisi-Kilimanjaro ya mchezo wa Karate mara baada ya kufanikiwa kushinda katika mashindano ya mchezo huo yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.

Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hao Maafande wa Polisi wa Kareti mngewaleta huku kwetu Manzese-Tandale Uzuri, ili kukabiliana na Mabaunsa wa Mitaani, Vibaka na wakabaji maana tunapata tabu sana na Wabeba Vyuma Mitaani!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...