Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi kompyuta 5 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa ajili ya shule ya sekondari ya Pangani wakati wa makabidhiano yaliyofanyika shuleni hapo leo mjini Kibaha ambapo pia mwakilishi huyo alikabidhi kiasi cha fedha Taslimu  shilingi milioni 10,000,000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya maabala katika shule hiyo.katikati ni Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru.
 Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi fedha taslimu shilingi milioni 10,000,000 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa ajili ya kununulia vifaa vya maabara katika shule hiyo katikati ni Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru
 Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya makabidhiano.
 Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba wa tatu kutoka kushoto akiwa pamoja na wanafunzi wawakilishi wakati wa makabidhiano hayo, kutoka kulia ni Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises,Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha Jenipher Omolo.
 Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprisesna ,Ellygood Sangawe Meneja wa kampuni hiyo Kanda ya Ziwa wakitembelea maabara ya shule hiyo.
 Mkuu wa shule ya sekondari ya Pangani ya Kibaha  Inocencia Mfuru akitoa maelezo kwa wageni hao wakati walipokuwa wakitembelea maabara.(PICHA NA FULLSHANGWE-KIBAHA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni sana kwa kuchangia maendeleo. Kidogo kidogo tutafika. Moyo huu kweli ni wa kitanzania. Big up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...