Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwa kutojali uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli  hayo. Wametoa mfano wa Kifusi kilichomwagwa zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli. Picha na Chris Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kukosa uwajibikaji huko. Katiba mpya iweshe wachawi wa namna hii wafidie hasara ya kawakwamisha wafanyabiashara kama hao.

    ReplyDelete
  2. kama hakina mwenyewe mwenye uwezo wa kukichukua na achukue kabla hakijachukuliwa na mvua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...