Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwa kutojali uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli hayo. Wametoa mfano wa Kifusi kilichomwagwa zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli. Picha na Chris Mfinanga
Home
Unlabelled
kifusi chakwamisha biashara bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kukosa uwajibikaji huko. Katiba mpya iweshe wachawi wa namna hii wafidie hasara ya kawakwamisha wafanyabiashara kama hao.
ReplyDeletekama hakina mwenyewe mwenye uwezo wa kukichukua na achukue kabla hakijachukuliwa na mvua
ReplyDelete