Home
Unlabelled
KINANA AKUTANA NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA MJINI KIGALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
''Uungwana ni Vitendo''
ReplyDeleteUnaweza kuchagua rafiki maishani lakini huwezi kuchagua Jirani, Mhe. A. Kinana Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi fanya liwezekanalo ili turudi kwenye ule undugu wetu mwema wa zamani zile na Raisi Paul!!!
Hakuna asiyejua ya kuwa Raisi P.K anatumia sana Sera na uenezi wa Ki CCM ktk Chama chake cha RPF na pia KUBWA ZAIDI tuliona jinsi Wana jwngwani walivyoenziwa walipotembelea Kigali pamona na mama Karume ni wazi ya kuwa Mr. President Paul K na yeye ni Mwana Yanga S.C wa ukweli !
Hivyo kamwe hatuwezi kuvunja undugu huu!
Hatuwezi Tanzania kamwe kuvunja undugu na Rwanda kwa sababu ya kuzidiana Ki -Utajiri na Kimipango !
ReplyDeleteTanzania kuwa na Gesi nyingi iliyopatikana na Madini mengi sana, Ujenzi wa Mitambo ya Gesi Lindi na Mtawara, Bandari Bagamoyo, Tanga Mwambani na Mipango mingi ya mabao makubwa sana ya BALOZI DAKITARI JAKAYA KIKWETE iwe sababu ya kuvunja undugu?
Ni wazi Balozi Dr. Jakaya Kikwete amepata Maksi nyingi sana za Ufaulu hivyo amewafunika sana na kuwaacha mbali sana Maraisi wenzake katika hii Afrika ya Mashariki na Afrika nzima kama jinsi TUZO zilivyotolewa kule Washington-DC , Marekani, Mhe.Benerd Membe akipokea kwa niana ya mHE. Raisi JK.!
....................................
MAKSI NA MASOMO KWA KILA MTAHINIWA KWA MARAISI WA AFRIKA YA MASHARIKI:
(KATI YA MARAISI 54 WA AFRIKA)
Jina:Mhe. Raisi Jakaya Kikwete-JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA- (NAFASI-1 KATI YA MARAISI 54 AFRIKA)
-DIPLOMASIA ZA KIMATAIFA 197%
-UCHUMI 95%
-UENEZI WA KISIASA 99%
-UTAWALA BORA 99%
-DEMOKRASIA 85%
-HAKI ZA BINAADAMU NA UHURU WA HABARI 100%
-MIPANGO NA MBINU ZA UFUNDI KULETA MAENDELEO 97%
....................................
Jina:Mhe. Paul Kagame-RWANDA- (NAFASI-39 KATI YA MARAISI 54 AFRIKA)
-DIPLOMASIA ZA KIMATAIFA 7%
-UCHUMI 5%
-UENEZI WA KISIASA 9%
-UTAWALA BORA 9%
-DEMOKRASIA 8%
-HAKI ZA BINAADAMU NA UHURU WA HABARI 10%
-MIPANGO NA MBINU ZA UFUNDI KULETA MAENDELEO 47%
....................................
Jina:Mhe. Raisi Yoweri Museveni-UGANDA- (NAFASI-21 KATI YA MARAISI 54 AFRIKA)
-DIPLOMASIA ZA KIMATAIFA 17%
-UCHUMI 15%
-UENEZI WA KISIASA 19%
-UTAWALA BORA 29%
-DEMOKRASIA 25%
-HAKI ZA BINAADAMU NA UHURU WA HABARI 17%
-MIPANGO NA MBINU ZA UFUNDI KULETA MAENDELEO 57%
....................................
Jina:Mhe. Raisi Uhuru Kenyatta-KENYA-(NAFASI-11 KATI YA MARAISI 54 AFRIKA)
-DIPLOMASIA ZA KIMATAIFA 37%
-UCHUMI 55%
-UENEZI WA KISIASA 39%
-UTAWALA BORA 49%
-DEMOKRASIA 35%
-HAKI ZA BINAADAMU NA UHURU WA HABARI 60%
-MIPANGO NA MBINU ZA UFUNDI KULETA MAENDELEO 57%
....................................
Jina:Mhe. Raisi Pierre Nkurunzinza-BURUNDI-(NAFASI-13 KATI YA MARAISI 54 AFRIKA)
-DIPLOMASIA ZA KIMATAIFA 35%
-UCHUMI 50%
-UENEZI WA KISIASA 37%
-UTAWALA BORA 47%
-DEMOKRASIA 25%
-HAKI ZA BINAADAMU NA UHURU WA HABARI 50%
-MIPANGO NA MBINU ZA UFUNDI KULETA MAENDELEO 47%
...................................
Hivyo jamani Kufeli Masomo na Mitihani ni kugumu, hakuvumiliki!, ndio maana Raisi Paul K. hana raha usoni kwa kufeli akipata Masomo mengi ktk Alama au Maksi kama Namba za viatu zisizozidi 12 huku akifaulu kiasi lakini chini ya alama (50%) somo moja tu la maendeleo akipata 47% !!!
Mhe. Kinana mkaribishe aje CCM, mpe Kadi ya Chama kuungana na sisi Tanzania nduguze huyo Raisi wa Rwanda Paul Kagame!
ReplyDeleteMweleze Rais Paul Kagame akija Tanzania jaiunge na CCM !
ReplyDeleteMdau wa kwanza:
ReplyDelete''UNAWEZA KUCHAGUA RAFIKI LAKINI HUWEZI KUCHAGUA NDUGU''
RWANDA NA RAISI PAUL KAGAME SISI NI NDUGU MOJA, BALI TUNAGAWIWA KWA MIPAKA YA WAKOLONI, KAMA TUNAVYOONA YULE MAMA JOYCE BANDA AKIDAI UMILIKI WA ZIWA NYASA KAMA ATAZINGATIA 'Heligoland Treaty-1890' KWA MSINGI WA SHERIA HIYO BURUNDI NA RWANDA ZILIKUWA NI SEHEMU YA TANGANYIKA AMA TANZANIA YA MWANZO!
HIVYO MZOZO WA ZIWA NYASA UAMULIWE KWA HAKI NA KUZINGATIA VIGEZO KAMA MALAWI WATAPEWA ZIWA NYASA NA SISI TANZANIA (KWA HIYO HIYO HELIGOLAND TREATY YA MWAKA 1890) TUTAHITAJI TUPEWE BURUNDI NA RWANDA ZIWE MIKOA YETU!
Jamani, gombeeni Madaraka mengine ya ngazi za chini kama Ujumbe wa nyumba Kumi, Serikali za Mitaa na Mabaraza ya Kata.
ReplyDeleteWengi wanapigania kutafuta madaraka lakini wakiyapata na kukalia viti vinakuwa vya moto wanatamani kualiza muda wapumzike, hayo ndio madaraka za dhahama zake.
Msikimbilie Uraisi, sio kazi rahisi!
Mhe. Kinana kwa uchache mwachie Raisi Paul Kagame fulana na Kapelo za CCM zitakazo mtoa chichaaa!
ReplyDeleteMkubwa anayong'onyezwa na mengi!
ReplyDeleteUso wake hauna raha kama zamani kwa kupaa kila uchao kwa Tanzania na Raisi wake anayo zichukia.