Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. The mdudu,wakenya wameula wa chuya na loho zenu chafu Tanganyika hiyo inapaaa kama dege la OBAMA

    ReplyDelete
  2. Nilitegemea mngetuambia kuja kwao kumaliingizia taifa kiasi gani cha fedha, na jinsi gani hizo fedha zitatumika kujenga nchi.

    Hii message ni aibu kwa taifa na wizara husika. Kwa nini uwa hawatuambii taarifa za kila mtu anayekwenda mbugani. What is so special with these bilionea mpaka mtoe message kama hii.

    Poor Tanzanian...

    ReplyDelete
  3. He, nawe msemaji wa pili huo ni wivu wako. Lazima waseme namna gani sekta ya utalii inaendelea. Hakuna sababu ya kukwambia kiasi cha pesa kimefanyika hivi na vile ni mapema mno kutoa taarifa hiyo. Acheni kutukana nchi yetu kwa sababu za bunafsi tu. Wasingesema mngelalamika wamesema bado lawama lini tutaridhika?

    ReplyDelete
  4. mtoa maoni wa pili kwanini mnapenda kuitukana nchi? hata kama kuna makosa yamefanyika bado sio sawa kuidharau nchi yako kiasi hichi.unachotakiwa ni kutoa tu ushauri wako. ukiidharau nchi yako mwenyewe nani ataithamini, kwani hizo figure ungeziona zingekusaidia nini?. poor you

    ReplyDelete
  5. Habari ndio hiyo ndugu zetu 'CoW' yaani Kenya, Uganda na Rwanda!

    Taarifa hizi zitawakosesha usingizi Nairobi, Kampala na Kigali.

    Si mlikuwa mna mtenga Kikwete?

    Kazi kwenu mtahesabu maumivu na sasa hivi BALOZI DAKITARI Jakaya Kikwete (NYUNDO KUBWA YA CHUMA, MZEE WA KAZI MWANZO MWISHO) yupo Ulaya na Wakubwa anajadili Mipango na maendeleo ya Tanzania!!!

    ReplyDelete
  6. Mdau ananonym #2 taarifa zipo ila hujazitafuta.tusikimbilie kulaumu tu kila jambo wakati sisi wenyewe ni wavivu kufuatilia.

    ReplyDelete
  7. Mambo kama haya ndio yanayo wauma sana kenya, Uganda na Rwanda na kutulazimisha kukubali Maazimio chungu mzima kama Visa Moja yan Utalii!.

    Mdau wa Pili, usiwe na wasiwasi kuhusu Mapato:

    Ni kuwa yapo mapato ya aina tatu (3) au zaidi kuhusiana na Ugeni wa namna hii kama hivi:

    1.Wanalipia Visa za Kuingia nchini ambapo mapato yanafika Serikalini.

    Kwa sasa Tourist Visa ni US$ 50.00 42 =us$ 2,100 hizo zimeingia moja kwa moja ile tu wanawasilia Uwanja wa ndege.

    2.Wanafanya Matumizi nchini ambapo kwa Hoteli za Kitajiri wanalipa sio chini ya US$ 400.00 KWA Usiku mmoja inakatwa Kodi 18% inaingia Serikalini.

    3.Wananunua Bidhaa na Zawadi za Thamani kubwa zaidi, wanatoa Ajira na kuleta Mapato ya Fedha za Kigeni nchini, hebu angalia mtu Bilionea atanunua zawadi ya US$ 100 tu?, hapana anaweza kununua bidhaa zana zawadi za Maelfu ya US$ ambazo Kodi 18% itaingizwa kwenye mapato ya Serikali na Sekta ya Biashara itapata kwa mauzo ya bidhaa.

    ..........
    MAPATO YA ZIADA:

    4.Matajiri ni watoajia wazuri wa michango na hisani yaani (Philanthropists) wanaweza kuamua kutoa mchango wowote DONOR FUND wawapo nchini na fedha hiyo inakuwa ktk US$ yaani fedha za Kigeni.

    5.Tunazo Fursa za uwekezaji wanaweza kuona uwezekano wanapo kuja nchini wakaamua kuhamishia Mitaji yao kuja Tanzania FDI (Foreign Direct Investments)fedha hiyo inakuwa ktk fedha za Kigeni na kuimarisha Uchumi wetu.

    Hivyo Mdau sio kazi rahisi kuelewa kiasi kamili cha fedha walizotuletea kutokana na maelezo kama yalivyo hapom juu.

    La muhimu ni wewe na mimi kujenga utamaduni wa kuiamini Serikali yetu ya kuwa Usimamizi umefanyika vizuri na tumepata Mapato kwa ujio huu wa Wageni Matajiri!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...