G4S Secure Solutions in partnership with Bhubesi pride have organized a rugby program involving primary schools in Tanzania with the aim of uniting children, empowering local teaching staff and inspiring young leadership. 
 This is through “Rugby in Africa” project that sees almost ten African countries, in which Tanzania became the 5th country to be visited primarily to support rugby and for community development. 
 The competition that was held during the weekend in Masaki, Dar es Salaam joined Mapambano primary school together with International school of Tanganyika (IST). Speaking duing the competition, Lugembe Kahungwa, G4S secure solutions head of sales and marketing said that they have decided to be part of the project so as to raise talents among children in schools. 
 He said that they also intend to develop local communities in Africa using sports as an educational vehicle. 
 “We have decided to sponsor this project because we understand that sports are one among the things in the community that can easily unite children and further improve their lives if they seriously consider it as a career,” he said. 
 On her side, Asha Juma, one of the students from Mapambano primary school said that they have extremely enjoyed and are happy for that they have interacted with other students from IST. She cited that the competition has gave them a wider opportunity to explore other sports such as rugby for which they had never played it before saying that football and netball were the frequent played sports at their school. 
 The 10 countries involved in the project are Tanzania, Uganda, Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia, Malawi, Zambia, Botswana, Namibia and South Africa. The 2014 “Rugby in Africa” project kicked off in Kenya on 17th February and is expected to conclude in South Africa on 27th June.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Shekilango ya Dar es Salaam wakifanya mafunzo ya mpira wa Rugby kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika iliyoko Masaki jijini Dar es Salaa jana.Programu  hiyo inafadhiliwa na  kampuni ya G4S Tanzania, inaratibiwa kwenye nchi kumi za Afrika kwa ajili ya kuendeleza kuunganisha watoto wa Afrika kupitia mchezo wa  Rugby.Kwa mujibu wa waratibu, nchi hizo zimetajwa kuwa ni Tanzania, Kenya ,Uganda, Rwanda, Ethiopia ,Malawi, Zambia, Botswana, Namibia na  Afrika Kusini. 

Mpambano ukiendelea

 Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Shekilango ya Dar es Salaam wakifanya mafunzo ya mpira wa Rugby kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika iliyoko Masaki jijini Dar es Salaa jana.Programu  hiyo inafadhiliwa na  kampuni ya G4S Tanzania

 Wachezaji wa Rugby wa Shule ye Msingi ya Mkunguni  ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,  wakijifua  kwenye mafunzo ya mpira wa Rugby kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika iliyoko Masaki jijini Dar es Salaam jana.Programu  hiyo inafadhiliwa na  kampuni ya G4S Tanzania, inaratibiwa kwenye nchi kumi za Afrika kwa ajili ya kuendeleza kuunganisha watoto wa Afrika kupitia mchezo wa  Rugby.Kwa mujibu wa waratibu, nchi hizo zimetajwa kuwa ni Tanzania, Kenya ,Uganda, Rwanda, Ethiopia ,Malawi, Zambia, Botswana, Namibia na  Afrika Kusini.
 Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya G4S Tanzania(Secure Solutions)akiwasisitiza jambo baadhi ya wanafunzi wa Msingi ya Shekilango ya Dar es Salaam walioshiriki katika mafunzo ya kucheza mchezo wa Rugby kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika iliyoko Masaki jijini Dar es Salaam jana. Programu  hiyo inafadhiliwa na  kampuni ya G4S Tanzania, inaratibiwa kwenye nchi kumi za Afrika kwa ajili ya kuendeleza kuunganisha watoto wa Afrika kupitia mchezo wa  Rugby.Kwa mujibu wa waratibu, nchi hizo zimetajwa kuwa ni Tanzania, Kenya ,Uganda, Rwanda, Ethiopia ,Malawi, Zambia, Botswana, Namibia na  Afrika Kusini.
 Mwalimu wa Mchezo wa Rugby akiwafundisha jinsi ya kucheza mchezo huo wanafunzi Shule ya Msingi ya Mkunguni  ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwenye mafunzo maalumu kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika iliyoko Masaki jijini Dar es Salaam jana.Programu  hiyo inafadhiliwa na  kampuni ya G4S Tanzania, inaratibiwa kwenye nchi kumi za Afrika kwa ajili ya kuendeleza kuunganisha watoto wa Afrika kupitia mchezo huo.Kwa mujibu wa waratibu, nchi hizo zimetajwa kuwa ni Tanzania, Kenya ,Uganda, Rwanda, Ethiopia ,Malawi, Zambia, Botswana, Namibia na  Afrika Kusini.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Shekilango ya Dar es Salaam wakifanya mafunzo ya mpira wa Rugby kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika iliyoko Masaki jijini Dar es Salaa jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. angalizo kwa wadau, jaribuni kutofautisha wasichana na wavulana na wasichana kwenye hayo mafunzo maana wasije wazazi wakaanza kuupinga huu mchezo kwa itikadi za kidini

    ReplyDelete
  2. Anonymous 1
    Hoja yako nzuri sana naikubali 100%
    Lakini kumbuka hapo hao waandaaji lengo lao moja ni kupotosha hao vijana kwa kushajiisha maingiliano yasiyo ya lazima.

    Asifiwe yesu

    ReplyDelete
  3. naunga mkono hoja 100%

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...