


Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla hiyo

Mkuu wa taaluma na mipango wa GTI, Bi Doroth akitamka kuanza kwa sherehe za Mahafali ya Pili ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia Tanzania (GTI) kwenye hafla ya mahafali hayo leo.
Sehemu ya wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) wakiwa kwenye sherehe za mahafali yao yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) leo Mabibo jijini Dar.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...