Bend maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "NGOMA AFRICA BAND" aka FFU Ughaibuni,yenye makao yake kule nchini Ujerumani,inaungana na watanzania wote nyumbani na ughaibuni katika kusherehekea "MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA",Ngoma Africa band inatoa salam
za heri na shangwe kwa watanzania wote popote duniani.

ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA

                                UDUMU UMOJA WA KITAIFA

                                UDUMU MUUNGANO WETU

                                  MUNGU IBARIKI TANZANIA

Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. makamanda wa FFU salam zenu zimefika,nyinyi ni wakombozi wa muziki wa dansi na wawakilishi wetu kimataifa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...