Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa Kituo cha walemavu cha Raisbura Bwana Mohamed Chitawala baadhi ya vyakula alivyowaletea- mchele, unga, mafuta ya kupikia, sukai, soda na vinginevyo wakati alipotembelea kituo cha walemavu cha Rasibura huko Lindi siku ya Pasaka
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi yake ya Pasaka Ndugu Theresia Thomas ambaye ni mlemavu wa viungo anayeishi katika kituo cha Rasibura huko Lindi. Baadaye Mama Salma anaonekana akipiga picha naye akiwa amelala kitandani kwani Theresia hawezi kukaa wala kusimama.
Baadaye Mama Salma anaonekana akipiga picha naye akiwa amelala kitandani kwani Theresia hawezi kukaa wala kusimama
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya watu wenye ulemavu wanaoishi katika Kituo cha Rasibura mara baada ya kuwakabidhi zawadi zao za Pasaka. Picha na John Lukuwi.
Shukrani first lady
ReplyDelete