Hivi ndivyo tunavyofanya kazi: Mtangazaji wa michezo ITV na Radio One Mailid Baraka wa Kitenge akipewa maelekezo na mtangazaji mkongwe Charles Hillary 'Tishio' jinsi wanavyotayarisha habari zao BBC alipotembelea ofisi za BBC leo.
"....Na hapo yale magoli ya off-side aliyofungwa Liverpool juzi unawezaje ku-replay....
"Haya hapa..."
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...