Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Bonnele,Chalinze mkoani Pwani,juu ya mwenendo wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze.Nape amesema kuwa mpaka sasa Kampeni za CCM zinakwenda vizuri na wanaimani watashinda kwa kishindo kwenye Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Jumapili hii ya April 6,2014.
Sehemu ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye mapema leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. The mdudu,tunataka serikali 3 na wala simbili kama mnavyotaka nyie CCM inafaida kwenu viongozi ila kwa wanachama na wananchi kwa ujumla hawaioni faida ya CCM,ndio maana tunahitaji Tanganyika yetu ili tujipange vizuri kila mwana Tanganyika afaidi neema za nchi yake so hayo maneno ya CCM itashinda kwakishindo hayatuiingizii lolote tunataka kusikia ukisema serikali tatu ndio dawa ya Muungano no and no serikali MBILI tunakuombeni sn tena sn MUHESHIMU MAONI YA WANANCHI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...