MAALIM MUHIDIN GURUMO ENZI ZA UHAI WAKE.

NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA,MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.

MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU, HALI ILIYOMPELEKEA KUAMUA KUSTAAFU MUZIKI.

MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.

GLOBU YA JAMII KWA MASIKITIKO MAKUBWA,INATOA POLE KWA WAFIWA WOTE PAMOJA NA WAPENZI WOTE WA BENDI YA MSONDO NGOMA MAHALA POPOTE PALE WALIPO.

TUNAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAALIM GURUMO MAHALA PEMA PEPONI.

- AMIN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. inalilah wainilayhi rajiun

    ReplyDelete
  2. The mdudu,huu ni msiba wetu sote watanzania poleni sana wanafamilia katika wakati huu mgumu na wenye majonzi.

    ReplyDelete
  3. Mola amuweke pahala pema peponi. .
    poleni sana kwa msiba. .

    ReplyDelete
  4. Poleni sana kwa msiba..mola amuweke pema peponi. .

    ReplyDelete
  5. R.I.P mzee Nguromo. Tutakukumbuka kwa mazuri yote uliyotatenda hapa duniani hasa kutuburudisha kwa muziki wa dansi.

    ReplyDelete
  6. KAYU LIGOPORAApril 14, 2014

    Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema Amen

    ReplyDelete
  7. Tulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi. pumuzika kwa amani mahala pema peponi, amina

    ReplyDelete
  8. Yeye na Bitchuka, Maneti, Marijan miaka hiyo walikuwa ndio wanamuziki wetu. RIP

    ReplyDelete
  9. May his Soul be laid in Peace!
    AMEN.

    ReplyDelete
  10. Franklin MzirayApril 14, 2014

    Let me share the sorrow of losing Muhidin Mwalimu Gurumo and console his family and the Tanzanian music and art fraternity.

    For a person whose first sight and sound of a live music performance in 1967 was that of Gurumo, he has gone down as my legend.

    You are no longer of this world, but your voice is. And as you left, your estate remains the wealth of sounds and music you so loved to entertain us with.

    We shall lay wreaths on your grave, but you have left us with flowery music.

    You rest in peace Mzee Gurumo as We listen to your songs as we mourn you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...