MAALIM MUHIDIN GURUMO ENZI ZA UHAI WAKE.
NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA,MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.
MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU, HALI ILIYOMPELEKEA KUAMUA KUSTAAFU MUZIKI.
MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.
GLOBU YA JAMII KWA MASIKITIKO MAKUBWA,INATOA POLE KWA WAFIWA WOTE PAMOJA NA WAPENZI WOTE WA BENDI YA MSONDO NGOMA MAHALA POPOTE PALE WALIPO.
TUNAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAALIM GURUMO MAHALA PEMA PEPONI.
- AMIN.
inalilah wainilayhi rajiun
ReplyDeleteThe mdudu,huu ni msiba wetu sote watanzania poleni sana wanafamilia katika wakati huu mgumu na wenye majonzi.
ReplyDeleteMola amuweke pahala pema peponi. .
ReplyDeletepoleni sana kwa msiba. .
Poleni sana kwa msiba..mola amuweke pema peponi. .
ReplyDeleteR.I.P mzee Nguromo. Tutakukumbuka kwa mazuri yote uliyotatenda hapa duniani hasa kutuburudisha kwa muziki wa dansi.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amuweke mahala pema Amen
ReplyDeleteTulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi. pumuzika kwa amani mahala pema peponi, amina
ReplyDeleteYeye na Bitchuka, Maneti, Marijan miaka hiyo walikuwa ndio wanamuziki wetu. RIP
ReplyDeleteMay his Soul be laid in Peace!
ReplyDeleteAMEN.
Let me share the sorrow of losing Muhidin Mwalimu Gurumo and console his family and the Tanzanian music and art fraternity.
ReplyDeleteFor a person whose first sight and sound of a live music performance in 1967 was that of Gurumo, he has gone down as my legend.
You are no longer of this world, but your voice is. And as you left, your estate remains the wealth of sounds and music you so loved to entertain us with.
We shall lay wreaths on your grave, but you have left us with flowery music.
You rest in peace Mzee Gurumo as We listen to your songs as we mourn you.