Meneja wa Kampeni wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi (kushoto) akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa Mkutano wa Kameni za CCM.
Diwani wa Kata ya Bwilingu,Nassar Ahmed Karama akiongea kwa kusisitiza wakati akiwasilisha taarifa ya Kata yake kwa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete ,kwenye Mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo April 2,2014.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Khadija Aboud akiwasalimia wakazi wa Kijiji cha Mbala,Kata ya Bwilingu wakati wa Mkutano wa Kameni na kumnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...