Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akimkabidhi t-shirt mwakilishi wa chuo cha Open University, Henry Mboga wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya Dar es Salaam vinavyoshiriki fainali za mkoa za Safari Higher Learning Pool Competition 2014.Makabidhiano hayo yalifanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya elimu ya juu iliyofanyika Coco Beach Dar es Salaam.Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu(wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa vyuo vya elimu ya juu iliyofanyika Coco Beach Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...