Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU-Ughaibuni, yenye makao yake kule ujerumani inatoa salam maarumu za siku ya wafanyakazi duniani "MEI MOSI" aka May Day,
Ngoma Africa band itawatakia kila la heri wadau wote duniani kwa kusherehekea sikukuu ya Mei Mosi
Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com
HIII! FFU-ughaibuni a.k.a viumbe wa ajabu Anunnaki bin watoto wa kelbu
ReplyDeletewana ya mbwa majeshi ya kutuliza fujo ughaibuni ninawakubali kisawa sawa
ReplyDeletemdau wenu
Sikitu Juma
Gotenborg
waume ndago ze ngomas africa chini ya kamanda mti mkavu ras makunja
ReplyDeletekazi moja tu
kamanda ? naona mmetulia ! sasa hivi mtakinukisha
ReplyDelete