Na Adam Kinguti
Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji ukishirikiana na baadha ya Wawekezaji kutoka Tanzania, Bakhresa, Magodoro Dodoma, Macktech, Kampuni ya usafiri -Maning Nice pamoja na Jumuiya za Watanzania Msumbiji na Swaziland walifanikisha sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwishoni mwa juma jijini Maputo.
Wageni waalikwa kutoka balozi mbalimbali nchini Msumbiji walihudhuria sherehe hizo za miaka 50 ya Muungano katika ubalozi wa Tanzania jijini Maputo
Nguli wa Taarab Bi Shakila (wa tatu kushoto)
akiwa na kundi la J.K.T. wanaimba wimbo wa Viva FRELIMO.
Mhe. Balozi Shamim Nyanduga akitoa hotuba
kwenye Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.Nyuma yake ni
Mgeni Rasmi Nhe.Carmelita Rita Namashulua, Waziri a Nchi, Utawala wa
Mozambique akitoa hotuba yake na mumewe Bw. Nyanduga.
Mgeni Rasmi Nhe.Carmelita Rita Namashulua,
Waziri wa Nchi, Utawala wa Mozambique akitoa hotuba yake.
Mhe. Balozi Shamim Nyanduga akisaidiana kukata keki na Waziri wa Nchi, Utawala wa
Msumbiji Mhe. Carmelita Rita Namashulua aliyekuwa mgeni rasmi. Wengine ni Kanal Lwimbo, Mshauri wa Jeshi, Bw. Frank Mwega, Mchumi na Ofisa Utawala wa Ubaloz, na mume wa balozi Bw. Nyanduga
Mhe. Balozi Shamim Nyanduga akiingia kwenye ukumbi wa Kaya Kwanga pamoja na mgeni rasmi Mhe. Carmelita Rita Namashulua, mumewe Bw. Nyanduga (kati) pamoja na maafisa wa ubalozi.
Toka kulia ni Kanal Lwimbo, Mshauri wa Jeshi, Mhe. Balozi Shamim Nyanduga na Bw. Frank Mwega, Mchumi na Ofisa Utawala wa Ubaloz
Mhe. Balozi Shamim Nyanduga akipiga
makofi baada ya kukabidhi zawadi kwenye kituo cha kulea watoto yatima
Mhe. Balozi Shamim Nyanduga akimkaribisha Mhe. Carmelita Rita Namshulua, Waziri wa Nchi, Utawala
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...