Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inapenda kuwafahamisha wadau wake kuwa anuani yake imebadilika hivyo kuanzia sasa mawasiliano yafanyike kwa kutumia anuani ifuatayo;
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
UTUMISHI HOUSE
8 BARABARA YA KIVUKONI
11404 DAR ES SALAAM
au
PRESIDENT’S OFFICE, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT
UTUMISHI HOUSE
8 KIVUKONI ROAD
11404 DAR ES SALAAM
Anuani hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 2483, Dar es salaam. Hivyo, mawasiliano yote yazingatie anuani mpya.
Limetolewa na
Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Barua pepe; permsec@utumishi.go.tz
Mbona wao wenyewe hawajabadilisha kwenye website yao anwani bado ni ile ya zamani.
ReplyDeleteWangebadili sehemu zote kabla ya kutangaza
ANONY 1, NAKUBALIANA NAWE KABISA! NILIDHANI PINDI ZOEZI LA KUBANDIKA NAMBA DAR AU NCHI NZIMA LITAKAPOKAMILIKA, NDIPO WOTE TUBALI ANWANI. KWA MFANO SIE WILAYA KINONDONI BADO HATUJAPATA NAMBA NA HATUJUI KINACHOENDELEA. MAMLAKA HUSIKA HAIJATUAMBIA ZOEZI LIMEISHIA WAPI MPAKA SASA.
ReplyDeleteJE TUNAELEKEA KWENYE ANUANI ZA KIMATAIFA? TUELIMISHWE
ReplyDelete