Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inapenda kuwafahamisha wadau wake kuwa anuani yake imebadilika hivyo kuanzia sasa mawasiliano yafanyike kwa kutumia anuani ifuatayo;

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
UTUMISHI HOUSE
8 BARABARA YA KIVUKONI
11404 DAR ES SALAAM
au
PRESIDENT’S OFFICE, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT
UTUMISHI HOUSE
8 KIVUKONI ROAD
11404 DAR ES SALAAM

Anuani hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 2483, Dar es salaam. Hivyo, mawasiliano yote yazingatie anuani mpya. 

Limetolewa na
Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Barua pepe; permsec@utumishi.go.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona wao wenyewe hawajabadilisha kwenye website yao anwani bado ni ile ya zamani.

    Wangebadili sehemu zote kabla ya kutangaza

    ReplyDelete
  2. ANONY 1, NAKUBALIANA NAWE KABISA! NILIDHANI PINDI ZOEZI LA KUBANDIKA NAMBA DAR AU NCHI NZIMA LITAKAPOKAMILIKA, NDIPO WOTE TUBALI ANWANI. KWA MFANO SIE WILAYA KINONDONI BADO HATUJAPATA NAMBA NA HATUJUI KINACHOENDELEA. MAMLAKA HUSIKA HAIJATUAMBIA ZOEZI LIMEISHIA WAPI MPAKA SASA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2014

    JE TUNAELEKEA KWENYE ANUANI ZA KIMATAIFA? TUELIMISHWE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...