Mchungaji Peter Msigwa kushoto akijadiliana Jambo na Naibu waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angellah Jasmine Kairuki.
.jpg) |
Wajumbe Profesa Ibrahim Lipumba na Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu wakijadiliana jambo. |
.jpg) |
M/kiti wa kamati namba mbili Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha taarifa za kamati namba mbili leo katika bunge maalum |
.jpg) |
Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu akimwonyesha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema |
.jpg) |
Mhe Profesa Mark Mwandosya kushoto akitafakari jambo na Mhe.Paul Makonda wakati wa uwasilishaji wa maoni ya kamati mbalimbali katika kikao cha Bunge maalum leo. |
Wabunge wakigawiwa mapendekezo ya kamati mbali mbali kati yakumi nambili wakati wakikao leo cha Bunge maalum leo.
Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii.
nyinyi kama hamtaki serikali ya tanganyika sisi tunaitaka nchi yetu iwe na jina lake la tanganyika kama zamani, wazanzibari wana nchi yao na jina lao , kwa nini na sisi tusiwe nayo? hii tanzania manaake kitu gani ? tuleteeni kura tupige huku uraiani , msitupigie kura kwa vitu hamjakubaliana na sisi wanainchi tulio wengi ,
ReplyDelete