Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Wadau wa Sekta ya Reli Ubelgiji Bwana. Jacques Delaunoit baada ya kumaliza kikao cha kuandaa Kongamano la Uwekezaji katika katika sekta ya Reli Tanzania. Kongamano hilo litafanyika Ubelgiji mwezi Mei, 2014.
Home
Unlabelled
UBELIGIJI NA TANZANIA KUHAMASISHA UWEKEZAJI KATIKA RELI TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
The mdudu,hakika tupo wote kwenye huo mpango hayo ndio mambo muhimu ya kupigania ndugu zangu tujiulize hivi kwanini wawekezaji wengi toka nje huwa wanakwepa kuwekeza sehemu za umuhimu kama hizo? Tunatakiwa tuwapush zaid kwenye RELI,BANDARI,BARA BARA,USAFIRI WA ANGA,UMEME,MAJI,sio kila mwekezaji ajikite kwenye viwanda tu na magesi mbona huko wanakimbilia sana why? Amkeni viongozi wetu,KWENYE UWEKEZAJI MAMBO MUHIMU KAMA HAYO NILIO YA SEMA NDIO YA KUTILIA MKAZO,ni mm Mwana uchumi nguli,the mdudu
ReplyDelete