Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Wadau wa Sekta ya Reli Ubelgiji Bwana. Jacques Delaunoit baada ya kumaliza kikao cha kuandaa Kongamano la Uwekezaji katika katika sekta ya Reli Tanzania. Kongamano hilo litafanyika Ubelgiji mwezi Mei, 2014.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. The mdudu,hakika tupo wote kwenye huo mpango hayo ndio mambo muhimu ya kupigania ndugu zangu tujiulize hivi kwanini wawekezaji wengi toka nje huwa wanakwepa kuwekeza sehemu za umuhimu kama hizo? Tunatakiwa tuwapush zaid kwenye RELI,BANDARI,BARA BARA,USAFIRI WA ANGA,UMEME,MAJI,sio kila mwekezaji ajikite kwenye viwanda tu na magesi mbona huko wanakimbilia sana why? Amkeni viongozi wetu,KWENYE UWEKEZAJI MAMBO MUHIMU KAMA HAYO NILIO YA SEMA NDIO YA KUTILIA MKAZO,ni mm Mwana uchumi nguli,the mdudu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...