Home
Unlabelled
UJUMBE WA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pamoja na kuwa 'Ndoto za Masikini huishia usingizini', vilevile unaweza kuzifanya Ndoto kuwa halisia!
ReplyDeleteMara zote ndoto zikiwekewa mipango na jitihada huweza kugeuka kuwa kitu halisi...ili mradi tu iwe ni kitu muafaka na usije ukaota unamezwa na chatu ama unaanguka kutokea juu ya mwembe halafu itokee kuwa halisi hakuna atakaye kubali hilo.
Hata mimi sikuelewa huo ujumbe si kweli, kuna fukara wengi waliota ndoto zao zikaatimia wakautupa umasikini kwenye kaburi lasahau. Ndoto za masikini zikifuatiliwa na mipango madhunuti zinaweza zisiishie usingizini bali zitaleta maendeleo.
ReplyDeleteOnly for those who lives with the spirit of GREAT MINDS their dreams are always coming into reality!!!
ReplyDelete