Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Bw. Erick Mfinanga (kulia) na Bi. Farida Rashid (kushoto) wakionyesha vyandarua walivyokabidhiwa katika semina maalumu ya ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mtaalam toka Chuo Kikuu cha John Hopkins cha nchini Marekani Pamela Kweka, akitoa semina kuhusiana na ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom wakionyesha vyandarua walivyokabidhiwa mara baada ya semina iliyofanyika kuhusiana na ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
KUAZIMISHA ndio nini?
ReplyDeleteBAnia tena na hii..Michuzi huna mpango kabisa kila siku tunakosoa kiswahili kibovu hmajiirekebishi.Wapo watu kibao wanaojua kiswhaili kizuri wanaoweza kufanya hii kazi tatizo mnapeana kazi kwa vimemo kama ilivyokawaida yenu makada wa sisiem.
Endelea kubana lakini ujumbe unakufikia.